Matokeo ya law school 5th Cohort | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya law school 5th Cohort

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by quimby_joey, Jan 7, 2011.

 1. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  naombeni msaada, jamaa yangu mmoja yuko mkoani alikuwa 5th cohort law school kanipigia simu muda huu kuwa kuna tetesi matokeo yao yameshatoka nami sina taarifa. Kama kuna yeyote mwenye uhakika wa tetesi hizi aniarifu tafadhali niweze kufikisha ujumbe.
   
Loading...