Bado Niponipo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2008
- 680
- 168
Heshima mbele wakuu.
Sasa huku tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2010 sio vibaya tukipitia matokeo hasa ya ngazi ya Urais ya mwaka 2000/2005, ningependa mtu mwenye takwimu za matokeo (kura) urais kwa mwaka 2005 atujuze atuwekee hapa ili tuweze kufanya tathmini ya kitatacho jili.
Ningependa tuanzie na matokeo ya mwaka 2000 kwa kuwa ilikuwa ni uchaguzi wa term ya mwisho ya BWM kama ilivyo sasa term ya mwisho JMK.
Nawakilisha.