Dah! Hii ni ngori mazee!Kitambi ni uzembe , kitambi sio sifa nzuri , ni ishara ya ulafi na uzembe wa hali juu mno, juu ya afya yako mwenyewe, bora ukose hata mia ila usiwe na kitambi tu .
Sasa imefika hatua jitu linanenepa mpaka mapaja , unakuta likisimama mapaja yanashikana na matege yake kama jinga flani hivi , na masuruali yake kama ngoswe yanazama kwenye mapupu , kisa tu uwepo wa nyama zembe.
Unanenepa vipi mpaka unakua na shingo kama ya tembo na mashavu kama kiboko kilaza wewe
Angalia jinsi hilo wese linavyo meza hiko kichululu chako kiazi wewe 👇View attachment 3671245
Duuh kitambi noma!Kitambi ni uzembe , kitambi sio sifa nzuri , ni ishara ya ulafi na uzembe wa hali juu mno, juu ya afya yako mwenyewe, bora ukose hata mia ila usiwe na kitambi tu .
Sasa imefika hatua jitu linanenepa mpaka mapaja , unakuta likisimama mapaja yanashikana na matege yake kama jinga flani hivi , na masuruali yake kama ngoswe yanazama kwenye mapupu , kisa tu uwepo wa nyama zembe.
Unanenepa vipi mpaka unakua na shingo kama ya tembo na mashavu kama kiboko kilaza wewe
Angalia jinsi hilo wese linavyo meza hiko kichululu chako kiazi wewe 👇View attachment 3671245
Wanakwambia Kitambi hakiumi, hakiwashi, kinabebeka wanakimudu 😂Kitambi ni uzembe , kitambi sio sifa nzuri , ni ishara ya ulafi na uzembe wa hali juu mno, juu ya afya yako mwenyewe, bora ukose hata mia ila usiwe na kitambi tu .
Sasa imefika hatua jitu linanenepa mpaka mapaja , unakuta likisimama mapaja yanashikana na matege yake kama jinga flani hivi , na masuruali yake kama ngoswe yanazama kwenye mapupu , kisa tu uwepo wa nyama zembe.
Unanenepa vipi mpaka unakua na shingo kama ya tembo na mashavu kama kiboko kilaza wewe
Angalia jinsi hilo wese linavyo meza hiko kichululu chako kiazi wewe 👇View attachment 3671245
Kaskazini hiyo bwashee 😎😁 chuga moja sio
Hapo sawa nduguSio wewe jamaa
Kuna wengine unakuta kapinda mgongo mikono kayatanua kidogo, sasa anapotembea (akivaa t-shirt) huwezi kumtofautisha na chura hata kidogo.Mtu anakaa kama kiboko
Hapana siwezi kuisalitiFamila yangu hakuna anaye hitaji mchango bwashee, punguza tumbo hilo acha ulafi ,wewe ni binadamu sio nguruwe bwashee