Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

Hebu nielewesheni Maana hapa katikati Kuna mabadiliko mengi Sana katika selection, mtu mwenye EED point 14 ya PGM anaweza kuchaguliwa kusoma chuo kweli
 
Acha hizo mkuu anazingua anaenda vzr bhna.......CE cuttng pointi tyr 4 zimefika hapo C ina 3 E ina 1 ......acha kuktish watu tamaa
Mkuu huyo kwa saiv changamoto ipo sana ....aandaliwe mtaji na akabidhiwe kwa mkataba tu..hlf saiv kusoma hakuna mantiki sana
 
Kuna dogo kapata

Physics B

Chem C

Bios C

Anaweza pata chuo cha udaktari bongo ukitoa muhimbili cha serikali , sijui hata admissions zmekaaje miaka hiki

Msaada tafadhali
 
Anapata lakini Private
Kuna dogo kapata

Physics B

Chem C

Bios C

Anaweza pata chuo cha udaktari bongo ukitoa muhimbili cha serikali , sijui hata admissions zmekaaje miaka hiki

Msaada tafadhali
Anapata lkn private au labda kama ana mibuyu huko vyuo vya serikali pia inategemea ufaulu wa mwaka huu PCB umekuwaje
 
Back
Top Bottom