Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,146
Hana muda wa kuboresha ana ahadi lukuki zinamsubiri!
hahaa Kigoma itakuwa kama Dubai ...na mwanza sijui kishaanza mchakato wa kuwanunulia meli???na uwanja wa kimataifa kule morogoro vipi
Hana muda wa kuboresha ana ahadi lukuki zinamsubiri!
JK: Tumefanya mengi zaidi katika sekta ya Elimu...na tunawaahidi tutafanya mengine meengii...pale ambapo tumeshindwa tumeeleza sababu...naomba mtuamini mtupe kura zenu..
Watu bila hiyana wampa....!!
JK:>>>>>>>>"Tumetimiza malengo ya milenia" na "kutoka hapa tunaenda mbele zaidi">>>>>>
s1930 j. M. Kikwete secondary school
div-i = 0 div-ii = 4 div-iii = 2 div-iv = 29 fld = 52
s1803 lowassa secondary school
div-i = 3 div-ii = 6 div-iii = 9 div-iv = 81 fld = 76
s2469 celina kombani secondary school
div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 1 div-iv = 21 fld = 44
s1337 sumaye secondary school
div-i = 0 div-ii = 1 div-iii = 18 div-iv = 59 fld = 111
s3489 sumaye secondary school
div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 3 div-iv = 26 fld = 37
s3866 regina mumba lowassa secondary school
div-i = 0 div-ii = 1 div-iii = 1 div-iv = 19 fld = 148
s0960 benjamin william mkapa high school
div-i = 5 div-ii = 25 div-iii = 74 div-iv = 263 fld = 282
s3561 salma kikwete secondary school
div-i = 3 div-ii = 8 div-iii = 27 div-iv = 119 fld = 150

Sio 134 ni 314 ndio waliopata vipaji ziro.naona vipaji maalumu viwe vinasoma pale YUSUF MAKAMBA SEC, huyu babu yetu kipenzi ametoa vipaji zero 134 tu.
(kuna watu wanadhan elim ni piga domo na data za uongo uongo kwamba tumekuza elimu, tumekuza elim )
Huu ni mkakati maalum kuzifanya Private schools zionekane zinafaulisha na hivyo kuendelea kulikamata soko la ELIMU nchini. Shule nyingi za binafsi ni miradi ya wakubwa nchini na hivyo hizi za serikali zitabaki kama zilivyo kipindi kirefu kijacho. Tumeomba iwepo regulatory board ya ELIMU kama zilivyo EWURA kwa maji na nishati lakini hakuna anayesikia wala kujali.
I hate seminaries 4 shoo........walinitimua kwa kutungua pera bila ruhusa....na majina yao ya IUS..ALBERTUS,ALLEXIUS,APPOLONIUS,CASSIUS,EVODIUS,FRATERINUS,HILARIUSwe chipukizi utakuwa umesoma Rubya Seminary. Nakumbuka darasa la 6 rutabo seminary tulikuwa45, form one tukabaki35 na form 4 tukabaki28. Mkuu kama kweli niPM tupige story kidogo. Nakumbuka enzi zetu kabla ya kuanza kwenye mtihani nusu saa kabla mko mmekaa tayari,wasimamizi wanagawa pepa,na kusubiri kuufunga peke yao. Nasema peke yao sababu wanafunzi walikuwa wanamaliza mtihani na kutoka nje lisaa au nusu saa kabla ya muda kuisha,kama wanafanya test vile! Maswali lainiii alaf mnasubiri one. Muogo mchungu anajidanganya tu! Wale wale waseminari ndo ma lecturer na tutorial assistants SAUT, UDSM ,IFM ,USTAWI nk. Wengine ni Auditors kpmg,e&y,pwc n.k wakikwepa hapo wanakuwa wanasheria mashuhuri na ma engineers! Yan seminary noma,cheza mbali moto wake unajulikana.
Hii serikali imeshindwa kabisa... baada ya kuindoa nguvu mitihani ya kidato cha pili nasikia wanampango pia kuwa mtu akifeli kidato cha nne aendelee hadi kidato cha sita.... JANGA LA KITAIFA.