K kokuemage Member Joined Jan 24, 2013 Posts 34 Reaction score 4 Feb 18, 2013 #21 jamani mbona hamna kitu kwenye necta lakini we Rogie mbona kutudanganya? watu tokea asbh tuko hapa kwenye net tunasubiria matokeo hola!
jamani mbona hamna kitu kwenye necta lakini we Rogie mbona kutudanganya? watu tokea asbh tuko hapa kwenye net tunasubiria matokeo hola!
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Feb 18, 2013 #22 Baba_Enock said: Naibu Waziri Mulugo anafahamu kuwa NECTA imeshatangaza matokeo? Click to expand... Ndalichako bado yupo NECTA?
Baba_Enock said: Naibu Waziri Mulugo anafahamu kuwa NECTA imeshatangaza matokeo? Click to expand... Ndalichako bado yupo NECTA?
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,600 Reaction score 6,721 Feb 18, 2013 Thread starter #23 andybird314 said: Rogie thanks aisee ila mbona hawajatoa majina wameweka namba Click to expand... Ahsante mkuu,naona huo utaratibu wa majina sijauelewa mkuu,kuna miaka wanaweka namba na miaka mingine wanaweka majina.
andybird314 said: Rogie thanks aisee ila mbona hawajatoa majina wameweka namba Click to expand... Ahsante mkuu,naona huo utaratibu wa majina sijauelewa mkuu,kuna miaka wanaweka namba na miaka mingine wanaweka majina.
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,600 Reaction score 6,721 Feb 18, 2013 Thread starter #24 kokuemage said: jamani mbona hamna kitu kwenye necta lakini we Rogie mbona kutudanganya? watu tokea asbh tuko hapa kwenye net tunasubiria matokeo hola! Click to expand... Mkuu,jaribu baadaye kwa sasa server zipo busy,nimefanikiwa kuona ya mtoto wa dada yangu.
kokuemage said: jamani mbona hamna kitu kwenye necta lakini we Rogie mbona kutudanganya? watu tokea asbh tuko hapa kwenye net tunasubiria matokeo hola! Click to expand... Mkuu,jaribu baadaye kwa sasa server zipo busy,nimefanikiwa kuona ya mtoto wa dada yangu.
kbosho JF-Expert Member Joined Jun 4, 2012 Posts 13,073 Reaction score 6,639 Feb 18, 2013 #25 mbona hakuna chochote...ama kweli kuishi tz ni ajabu la dunia
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,600 Reaction score 6,721 Feb 18, 2013 Thread starter #26 Fidel80 said: Umaarufu wa kijinga Click to expand... Kaazi kweli kweli..
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,993 Reaction score 102,833 Feb 18, 2013 #27 Rogie said: Ahsante mkuu,naona huo utaratibu wa majina sijauelewa mkuu,kuna miaka wanaweka namba na miaka mingine wanaweka majina. Click to expand... hata mie nimeshangaa sana maana nilitegemea kuona watu fulani ila nimekosa na inaonesha this year wengi wamefail sana
Rogie said: Ahsante mkuu,naona huo utaratibu wa majina sijauelewa mkuu,kuna miaka wanaweka namba na miaka mingine wanaweka majina. Click to expand... hata mie nimeshangaa sana maana nilitegemea kuona watu fulani ila nimekosa na inaonesha this year wengi wamefail sana
Mchaka Mchaka JF-Expert Member Joined Jul 20, 2010 Posts 4,517 Reaction score 1,428 Feb 18, 2013 #28 NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS S0199 MSAMALA MUSLIM SEMINARY DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 26 FLD = 19 Click to expand... poleni sana watanzania wenzangu!
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS S0199 MSAMALA MUSLIM SEMINARY DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 26 FLD = 19 Click to expand... poleni sana watanzania wenzangu!
KIZIBO UTATA Member Joined Feb 10, 2013 Posts 39 Reaction score 8 Feb 18, 2013 #29 thanks tumeyaona ya watoto wetu.....
K kokuemage Member Joined Jan 24, 2013 Posts 34 Reaction score 4 Feb 18, 2013 #30 mselewe hbu niambie jamani mm sioni kitu naingia kwenye website ya necta then result then nikiangalia chini hakuna form four 2012, nyie mnaonaje? give me a lead pls hapa roho inadunda kweli kwlei. mtoto anafanya mtihani mimi BP iko juu.
mselewe hbu niambie jamani mm sioni kitu naingia kwenye website ya necta then result then nikiangalia chini hakuna form four 2012, nyie mnaonaje? give me a lead pls hapa roho inadunda kweli kwlei. mtoto anafanya mtihani mimi BP iko juu.
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,600 Reaction score 6,721 Feb 18, 2013 Thread starter #31 kbosho said: mbona hakuna chochote...ama kweli kuishi tz ni ajabu la dunia Click to expand... Angalia hapo nilipozungushia kibox. Attachments Necta.jpg 137.3 KB · Views: 518
kbosho said: mbona hakuna chochote...ama kweli kuishi tz ni ajabu la dunia Click to expand... Angalia hapo nilipozungushia kibox.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,993 Reaction score 102,833 Feb 18, 2013 #32 duh kuna link zaidi ya moja ila ziko slow sana aisee
Mkoroshokigoli JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 14,593 Reaction score 5,583 Feb 18, 2013 #33 Rogie said: Wakuu, NECTA wametangaza matokeo tayari. Tembelea The National Examinations Council of Tanzania Click to expand... asante mdau naona mwaka huu wamewastiri wameweka NAMBA TU BILA MAJINA
Rogie said: Wakuu, NECTA wametangaza matokeo tayari. Tembelea The National Examinations Council of Tanzania Click to expand... asante mdau naona mwaka huu wamewastiri wameweka NAMBA TU BILA MAJINA
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,600 Reaction score 6,721 Feb 18, 2013 Thread starter #34 andybird314 said: hata mie nimeshangaa sana maana nilitegemea kuona watu fulani ila nimekosa na inaonesha this year wengi wamefail sana Click to expand... Pole mkuu,kama mnaelewana vizuri waombe namba zao
andybird314 said: hata mie nimeshangaa sana maana nilitegemea kuona watu fulani ila nimekosa na inaonesha this year wengi wamefail sana Click to expand... Pole mkuu,kama mnaelewana vizuri waombe namba zao
Yegoo JF-Expert Member Joined Nov 14, 2012 Posts 1,434 Reaction score 510 Feb 18, 2013 #35 Hayo matokeo ni ya wale walio list! Ila nawaomba kabla hujapost!pitia kwanza hiyo and Then unaiweka hadharani! Ili Tuipe Jf sifa yake! HOLLAAA
Hayo matokeo ni ya wale walio list! Ila nawaomba kabla hujapost!pitia kwanza hiyo and Then unaiweka hadharani! Ili Tuipe Jf sifa yake! HOLLAAA
kbosho JF-Expert Member Joined Jun 4, 2012 Posts 13,073 Reaction score 6,639 Feb 18, 2013 #36 mbona hakuna kitu jamaniii
kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,974 Reaction score 2,492 Feb 18, 2013 #37 duh sina la kusema!!!!!
M Mwanafikra huru Senior Member Joined Jan 17, 2013 Posts 141 Reaction score 18 Feb 18, 2013 #38 Matokeo ya nini haya?
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,600 Reaction score 6,721 Feb 18, 2013 Thread starter #39 Yegoo said: Hayo matokeo ni ya wale walio list! Ila nawaomba kabla hujapost!pitia kwanza hiyo and Then unaiweka hadharani! Ili Tuipe Jf sifa yake! HOLLAAA Click to expand... Sio kuwa na wewe unatakiwa kuthibitisha kuwa hakuna kabla hujabisha!!!
Yegoo said: Hayo matokeo ni ya wale walio list! Ila nawaomba kabla hujapost!pitia kwanza hiyo and Then unaiweka hadharani! Ili Tuipe Jf sifa yake! HOLLAAA Click to expand... Sio kuwa na wewe unatakiwa kuthibitisha kuwa hakuna kabla hujabisha!!!
kbosho JF-Expert Member Joined Jun 4, 2012 Posts 13,073 Reaction score 6,639 Feb 18, 2013 #40 umeangalia wap mkuu?...........