shule kongwe za serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe: Serikali inaandaa Mradi wa kukarabati Shule zote kongwe Nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI imeandaa andiko la mradi unaoitwa SIFA yaani (School Infrastructure Facelifting Programme) na kuliwasilisha Wizara ya Mipango, ili kuwezesha upatikanaji wa fedha za...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya wakuu Shule za Kidato cha tano wanatoza pesa ili kupata nafasi za kuhamia

    Baadhi ya wakuu wa shule hasa zile kongwe na zinazofanya vizuri katika mitihani ya taifa ambazo ni za umma wamekuwa ni kero kubwa sana. Wamekuwa wakiwatoza fedha baadhi ya wanafunzi wanaotaka kuhamia kwenye shule hizo. Baadhi yao wanawatoza wazazi shilingi Laki 1 hadi Laki 5 ili waweze kupata...
  3. Rogie

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

    Wakuu, NECTA wametangaza matokeo tayari. Kuyapata matokeo (kama yalivyotangazwa tarehe 18/02/2013), tembelea: MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 - (Hosted by JamiiForums) Soma Pia Matokeo ya miaka mingine kuanzia 2008 Matokeo ya form four 2008 Matokeo ya kidato cha nne 2011 QT Results 2012 -...
Back
Top Bottom