Matokeo ya form four tusishangae!

Matokeo ya form four tusishangae!

Jamboleo

Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
46
Reaction score
3
WAKATI MIMI NAMALIZA DARASA LA SABA, Wanafunzi wachache sana walikuwa wakifaulu na wachache zaidi (shule nyingi si zaidi ya watano) walichaguliwa kuendelea na masomo ya sekondari!! watu walikuwa hawashangai, leo hi darasa la saba si kikwazo tena wote wana pita, hakuna mchujo wowote hadi form Four! tunategemea nini??? tupate one na two nyingi???, haiwezekani, haipooo!, halafu Mpishi unamdharau huku ukitegemea chakula kizuri? Never!!!!
Nafikiri serikari iunde tume tu ili angalau tusahau kwa muda alafu mwishowe ikae kimya kabisa hatutapiga kelele !! Tushasahauuu!!!
 
Mkuu Jamboleo umenena kweli!

Yani kifupi ni kwamba wale watu waliokuwa wanakosa nafasi ya kidato cha kwanza sasa hivi wamebadilishwa jina wanaitwa waliofeli form four. wale walikuwa wanashinda kwenda form one ndio hao wenye div I-III tofauti ni kwamba wametawanywa ktk shule mbalimbali! badala ya kupelekwa shule moja au mbili zilizokuwepo katika wilaya moja!

Kinachoisha watu ni population tu ambayo inapunguza asilimia ya ufaulu. lakini ukichukua idadi (sio %) ya waliopata div I-III itazidi waliokuwa wanapata madaraja hayo kwa miaka ya 1980.

Habari ndio hiyo!
 
Back
Top Bottom