monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 877
- 1,564
Habari wakuu,
Nauliza vipi kuhusu matokeo ya wanafunzi wanaotarajia kupata elimu ya chuo kikuu 2017/2018 tarehe maalum ya kutoka ni lini?
ina maana kila chuo kinatoa matokeo kwa kujitegemea?
Au yanatoka kupitia TCU?
Na vipi kuhusu tetesi za baazi ya vyuo kuachia matokea
Natanguliza shukrani.