S sam-Akida JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 216 Reaction score 225 May 13, 2025 #101 PSL god said: Hahaha Click to expand... Imagine kirahisi unasema vyeti zaidi ya lAki vimeibiwa baraza la mtihani la taifa sasa taifa hili tuamini taasisi gani?
PSL god said: Hahaha Click to expand... Imagine kirahisi unasema vyeti zaidi ya lAki vimeibiwa baraza la mtihani la taifa sasa taifa hili tuamini taasisi gani?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,299 May 27, 2025 #102 Akhi said: M nataka kufahamu kwanini mtihani wa O level f4 2015 watu wengi walipewa C je wote hawa walikua na ufahamu sawa? Click to expand... Matokeo yalibadilishwa kutoka mfumo wa GPA kurudi ktk Division. Na Inasemekana walio wengi walifeli, ili kuepusha ya 2012, wakawapa div 3 wanafunzi wengi. Lol.
Akhi said: M nataka kufahamu kwanini mtihani wa O level f4 2015 watu wengi walipewa C je wote hawa walikua na ufahamu sawa? Click to expand... Matokeo yalibadilishwa kutoka mfumo wa GPA kurudi ktk Division. Na Inasemekana walio wengi walifeli, ili kuepusha ya 2012, wakawapa div 3 wanafunzi wengi. Lol.
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,658 Reaction score 3,749 Jul 28, 2025 #103 Hongereni