Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,649
- 3,814
Kwa waCBA nchi nzima. Mi ndio nilikuwa TO mwaka 2008 nikitokea Galanos.Kusema ulipata 12 ina maana ni division 2 ya 12 sio
Ndo hii mkuuKwa waCBA nchi nzima. Mi ndio nilikuwa TO mwaka 2008 nikitokea Galanos.
Mwaka 2007 alikuwa rafiki yangu na cube mate wangu namba 18 pale Bweni la Chai Galanos Donasia Chebeha Mahindi.
Saizi mtu asipopata one watu wanamshangaa Mtaa nzima.Zamani MTU unapata one watu wanakushangaa mtaa mzima.
Nina rafiki yangu alikua mafinga science waliombwa sana wabaki jamaa akachomoa alisoma PGM kilichofuata ni division 0 π± πππ saivi yupo anachimba almasi2013 pia matokeo yalikuwa mabaya mno pia..huu ulikuwa mwaka mbaya mno..matokeo yametoka tupo jeshini, watu ilikuwa ni kilio tuu.
Miaka hii waliofeli form four ndo walimuZamani MTU unapata one watu wanakushangaa mtaa mzima.
MarhabaaaaNyie mliofanya ACSEE 2008 shikamooni
Cut off ya BAF Mzumbe 2009 ilikuwa point 5. Mnanichanganya kusema paper ya 2008 ilikuwa ngumu
Watu walitisha2007 cut off ya Baf mzumbe ilikuwa point 7 kwa wavulana na point 8 kwa wasichana
Kwa HKL hio ni kama division three ya 14 ya PCMMtihani ulikuwa mgumu sana , ila nashukuru nilifaulu sana kuliko hata o level, yaani division one point zangu 6
Ila ilikuwa nyepesi sanaaaHuyu mwaka waliamua kutukomoa. Economics ilikua na maswali yana a na b na zote ni essay aisee. No calculation hata Moja.
Itakua ana pata pesa huyoNina rafiki yangu alikua mafinga science waliombwa sana wabaki jamaa akachomoa alisoma PGM kilichofuata ni division 0 π± πππ saivi yupo anachimba almasi
Kawaida ni maswali matano. Hapo yaligeuka maswali kumi. Sio rahisi kuandika twice questions under the same time. Time was never added.Ila ilikuwa nyepesi sanaaa
Mimi nataka kujua ni kwa nini matokeo ya Kidato cha Sita mwaka 2008 yamefichwa hayaonekani ila miaka mingine kama 2007 na 2009 yanaonekana.
Mbona watu tulipiga vizuri tu.Mimi mwenyewe ni mmojawapo wa watahiniwa wa PCM ACSEE 2008, kiukweli mtihani ulikuwa mgumu mpaka nashangaa siku hizi wanaofaulu ni wengi kulinganisha miaka hiyo
HGLSiku nyingine uwe unaweka na combination uliyopatia Division One ya pointi sita zako.
Acha kutia tia huruma hapaKawaida ni maswali matano. Hapo yaligeuka maswali kumi. Sio rahisi kuandika twice questions under the same time. Time was never added.
HahahaHii ni scheme ambayo wanajua wakiyaacha ni kujivua nguo. Madudu yalifanyika jikoni mkumbuke mwaka huo ndo vyeti vya piacha vinaanza.
Tusiwe wepesi wa kusahau, vigogo wengi shule haipo hata watt wao ila Leo ukiwagusa Wana degree.
Nakumbuka ilitangazwa kuwa vyeti zaidi ya lAki kama sijanukuu vbaya yakadiriwa vmepotea .
Nani anakumbuka mag akisema 10 vmepatikana bot kwenye uhakiki watumishi hewa na vyeti feki!