Afrika huwa kuna uchaguzi au uchafuzi?
Kuandikishwa tu kupiga kura ni kazi nzito, kuweza kuipiga hiyo kura ni mshike mshike, kupitishwa jina lako na tume ili uwe mgombea ni vita, kupiga kampeni ni mpaka uwe na connection na vyombo vya dola, kupata matokeo halisi ni hadithi zingine.
Kwa kifupi sana, suala la uchaguzi hapa Afrika, sisi ni wapumbavu, wapuuzi na wajinga wa mwisho.