Matokeo NBAA kunani?? Lini yanatoka? Kwanini mpaka sasa hayajatolewa??

Kuna tetesi bodi ya kupitisha matokeo imeisha muda wake subirini iteuliwe nyengine. Sina uhakika Kama 100% ni sababu
 
sasa si wangewaita wale wapitishe then,wateue board nyingine!it seems hadi board mpya itimie safu nzima it may reach May
 
kuna tetesi kuwa bodi ilivunjwa na mkulu na hajateua memba wengine wa bodi.

tetesi nyingine ni kwamba mitihani ilivuja kutokana na baadhi ya watahiniwa kuvujishiwa mitihani baada ya kuchanga milioni 6 kila mmoja na hawa ni wale waliokua wako kwenye danger zoon ya kufutiwa matokeo yote ya nyuma baada ya kureseat kwa muda mrefu bila kutoboa
 
:eek::eek::mad::mad: kwahiyo wanafanya uchunguzi au?
 
Back
Top Bottom