Tusilaumiane jamani,acheni tu tufungwe,sisi kuna vitu tunaviweza kama,ulevi,majigambo,fitina,majungu,ujuaji,ushirikina,ujanja ujanja,uzinzi na uasherati (siku hizi haya yamepewa jina nyororo yanaitwa,Ngono zembe/Ngono salama) japo matemdo yanabaki yaleyale maovu UZINZI/UASHERATI
hivi jamani hii TBC1 mbona wanaweza kurusha upupu wa CCM alafu wanaacha kutuletea matangazo ya mechi zetu live?tuwafanyeje hawa TBC,mpaka mechi ya leo hawataka kutuonyesha badala yake wanarusha nyimbo za mipasha na filamu za kikuda