matokeo mabaya ya kidato cha nne 2013 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

matokeo mabaya ya kidato cha nne 2013

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by rukaragata, Feb 26, 2013.

 1. r

  rukaragata Member

  #1
  Feb 26, 2013
  Joined: Feb 14, 2013
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kuna uwezekano wa kutuchanganya kuhusu matokeo haya. Inafaa serikali iseme wazi kilichotokea tangu uasahihishaji hadi kutoa matokeo. Serikali ikifanya hivyo basi jumuiya itakuwa na mahali pakuanzia kutoa maoni. Kinachofanyika sasa ni kila mtu kutoa hisia zake bila kuwa na vigezo vya kusema hivyo.
   
Loading...