Matokeo kidato cha sita 2012 lini??

Status
Not open for further replies.

Raphael9

Senior Member
Apr 24, 2012
145
44
Me ni mmoja wa wahitimu wa kidato cha sita 2012 mpaka sasa sinatetesi kuhusiana na matokeo ukiangalia hapa sina ajira na maisha n magumu kwa yeyote mwenye fununu naomba anijulishe lini yatakuwa out?
 
Ndani ya wiki hii au wiki ijayo. Vumilia tu kijana utayapata, maana naona hata website ya NECTA inazingua. I guess under construction.
 
Yaani mtihanni umefanya juzi tu mwezi wa pili umeshaanza kuhaha na matokeo?? Vuta subira mambo mazuri hayataki haraka....
 
Me ni mmoja wa wahitimu wa kidato cha sita 2012 mpaka sasa sinatetesi kuhusiana na matokeo ukiangalia hapa sina ajira na maisha n magumu kwa yeyote mwenye fununu naomba anijulishe lini yatakuwa out?

Wewe mtoto, sasa majibu yakitoka ndio unapata ajira. Tumesema siku zote, acha mawazo ya kuajiliwa. Hapo ulipo buni lolote halali la kujipatia kipato. Futa kabisa mawazo ya kuajiliwa. Ikitokea sawa, lakini to bank on being employed will lead you to frustrations!!! Matokeo bado !
 
Maisha magumu ata tempo umeshindwa kuomba? Acha uvivu unadhan matokeo yakitoka yatabilisha uvivu wako
 
I contacted one of NECTA's IT personnel anasema instructions walizopewa ni kuwa they should release them on 26th which is thursday!! So kesho kutwa vijana mjiandae kuvuna mlivyopanda,kama ulipanda maboga usisubiri machungwa!! Kesho kutwa m-tune TBC watatangaza b4 releasing them!
 
kweli bro!!
 
Me ni mmoja wa wahitimu wa kidato cha sita 2012 mpaka sasa sinatetesi kuhusiana na matokeo ukiangalia hapa sina ajira na maisha n magumu kwa yeyote mwenye fununu naomba anijulishe lini yatakuwa out?

Mdau,vitu vizuri havitaki haraka!Unajua wanapochelewesha ndio vizuri kwa kuwa wanakuwa wanasahihisha kwa umakini!Mtazamo tu!
 
Me ni mmoja wa wahitimu wa kidato cha sita 2012 mpaka sasa sinatetesi kuhusiana na matokeo ukiangalia hapa sina ajira na maisha n magumu kwa yeyote mwenye fununu naomba anijulishe lini yatakuwa out?

je umejaribu kutafuta kazi yoyote tangu umslize masomo hukakosa?
 
yo wrong brah!, nna ham ya kuona division one yangu, hlf nna wacwac kama ww ni senetor mana senetor hawez kupost pumba kama hiyo

wanao pata one huwa hawana presha na matokeo,ila nyie viazi ndo presha znawapanda kila kukicha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom