Abu_yazid
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 3,435
- 4,254
Ukikaa na uaridi nawe utanukia uaridiEvidence: Kwanini mikoa inayofanya vibaya kwenye elimu ndiyo inayopendwa na CCM?
---------------------------------
Mikoa 10 iliyofanya vizuri zaidi katika mtihani wa kidato cha pili 2018;
Arusha - Chadema
Njombe - CCM/Chadema
Iringa - Chadema
Mbeya - Chadema
Kigoma - ACT-Wazalendo
Kilimanjaro - Chadema
Kagera - Chadema
Manyara - Chadema
Shinyanga - CCM/Chadema
Mwanza - Chadema/CCM
Mikoa 10 iliyofanya vibaya zaidi matokeo ya kidato cha pili 2018.
Lindi - CCM
Mtwara - CCM/CUF
Mara - CCM
Ruvuma - CCM
Tanga - CCM
Katavi - CCM
Tabora - CCM
Rukwa - CCM
Morogoro - CCM
Dodoma - CCM
Jr![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
