Matokeo hayoo...watu kimyaaaaa!!!!!!

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Watoto wa shule,

Tupeni feedback, mmefaulu?

Maana mlipiga kelele sana...oh matokeo lini..mara oh tunacheleweshwa..mara necta wanatubania....
 
Hii Post mbona ni ya Mwaka jana 2012 wadau.... mnapigana na ukuta..... mambo bado.....
 
Back
Top Bottom