hivi ikitokea CCM ikitangazwa imeshinda itakuwa je hapa JF? maana naona wengi hapa ni chadema na wanafurahia takwimu zina zoonyesha chamema inaongoza
Kuanguka kwa CCM Biharamulo ndiyo mwisha wa Mzee Malecela ?
-bwa ha ha ha ha sasa hivi FMES anakuja......mzee malecela kama ni mtindo wa nywele basi ni afro.....kapitwa na wakati.....
Mbona mnanichanganya, kwani hivi FMES wana uhusiano na JSM ?FMES Aliaga kwamba anakwenda kupumzika!!! sijui kwa kazi gani...
Ndivyo inavyotamka sheria ya uchaguzi. Kura za kila kituo zinahesabiwa hapo hapo kituoni na matokeo yanabandikwa.Sasa majumuisho ni ya nini tena kama kura zimesha hesabiwa???
Mimi naona kuna namna inayotakiwa kufanywa hii sio bure.
Hii thread itafungwa na kutupwa kwenye kapu la "Closed Threads"
Hivi CCM wakipoteza kiti hicho itapunguziwa nini katika uwakilishi wake Bungeni wenye mamia ya ma-yes men walioshika mihuri kuitumia kwa chchote serikali ikipeleka? Bora apate huyu wa Chadema ili Bunge lichangamke?
Ndonde nilidhani mtafanya maandamano kupinga ushindi huo,sasa thread ikifungwa itasaidia vipi kupatikana kwa haki?
Chadema i base sana kwenye kutafuta idadi kubwa ya wabunge mwaka 2010 ili CCM isiwe na mandate bungeni kwa kuwa na wabunge wengi na kujiamlia mambo wenyewe, hapo nadhani tukifanikiwa 2010 kuwa na wabunge wengi zaidi 2015 Urais CCM wanang'oka bila kupingwa
Chadema i base sana kwenye kutafuta idadi kubwa ya wabunge mwaka 2010 ili CCM isiwe na mandate bungeni kwa kuwa na wabunge wengi na kujiamlia mambo wenyewe, hapo nadhani tukifanikiwa 2010 kuwa na wabunge wengi zaidi 2015 Urais CCM wanang'oka bila kupingwa
Ndivyo inavyotamka sheria ya uchaguzi. Kura za kila kituo zinahesabiwa hapo hapo kituoni na matokeo yanabandikwa.
Matokeo rasmi yanatolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi pekee kupitia kwa Msimamizi wa Uchaguzi.
Hivyo matokeo rasmi, bado, matokeo haya unayayoyaona sio matokeo rasmi, ni matokeo ya vyama kujijumlishia yale mabandiko ya vituo mbalimbali.
Ndio maana hujamsikia Mnyika, Zitto wa Dr. Slaa akishuka humu, wote wako Bi'mulo na wana JF wengine 4.
pasco, hapa nimeongea na zitto akanambia hivi:
Imetubidi kujumlisha upya matokeo, tumerudia mara ya pili tukapata hivi:
Chadema: 17,313
ccm: 16,682
tlp: 187
lakini ccm wanatwambia wametushinda kwa tofauti ya kura 1,700 kitu ambacho hatukubaliani nacho, tunarudia kuhesabu mara ya 3!
Kaaazi kwelikweli