Habarini ndugu zangu, wenzangu marafiki zangu wa JF, mimi natafuta Software ya Matlab Ver 7.12 for win7 na system yangu ni 64-bit. Naomba kwa yeyote ambaye anafahamu ni wapi naweza kuipata anielekeze. Natanguliza shukurani zangu kwa GreatThinkers wote.