Matiti nje

Matiti nje

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,258
Hivi haka kamtindo ka kuacha maziwa watu wayachungulie mnavyofanya wakina dada mna maana gani?

Yaani utakuta mtu hadi wa ofisini matiti kayaacha nje au wengine wamevaa nguo zenye V yaani maziwa kila mtu anayaona.

Halafu myebana mpaka mnatupa majaribu kufanya kazi na nyie.

Acheni bwana matiti yako kamuonyeshe mumeo huko alaaaaaah
 
Hivi haka kamtindo ka kuacha maziwa watu wayachungulie mnavyofanya wakina dada mna maana gani???? Yaani utakuta mtu hadi wa ofisini wazima kayaacha nje au wengine wamevaa nguo zenye V yaani maziwa kila mtu anayaona halafu myebana mpaka mnatupa watu kufanya kazi na nyie.Acheni bwana matiti yako kamuonyeshe mumeo huko alaaaaaah

Kama hana mume atamuonesha nani? Nadhani hao sio wake za watu ila wanatafuta wa kuwadungua
 
hivi haka kamtindo ka kuacha maziwa watu wayachungulie mnavyofanya wakina dada mna maana gani???? Yaani utakuta mtu hadi wa ofisini wazima kayaacha nje au wengine wamevaa nguo zenye v yaani maziwa kila mtu anayaona halafu myebana mpaka mnatupa watu kufanya kazi na nyie.acheni bwana matiti yako kamuonyeshe mumeo huko alaaaaaah
tam tam hiyo na wewe kinacho kufanya uangalie hiyo mamushaka ni nini kumbe nawe wapenda
 
Tatizo umehusisha matiti na genye, ona wenzio na wala hawana tabu.
 
kaka ni umalaya tu hakuna kingine wakiacha umalaya watavaa kwa kusitiri miili yao halafu unakuta anona wanao jiuza ndo malaya,kumbe wote malaya tu tofauti huyu yuko kwenye ki ofisi......."..vivyo hivyo mwanamke avae mavazi ya kusitiri"


watajua wenyewe mi naishi kwa principles but not enviromental control,evelyn tuoneshe yalivyo rendemka na kusinya OVER
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom