Matiti makubwa!

Kwani mtindi si chakula ya watoto? Wewe yanakuhusu nini unless hupendi watoto. Hata yapinde vipi , sio yako hayakuhusu.
 
yana raha yake bwana hebu cheki hapa!!
 
Last edited by a moderator:
Siku zote Mungu ndiye muumbaji na tu sura na mfano wake kwa wale wenzangu tunaoamini. Kwangu kila mtu ni mzuri na kile Mungu alichomjalia, hapa sishirikishi wale wa maumbile ya kichina. Hata siku moja usijethubutu kukandia jinsi mtu alivyo wakati hata mtoto Mungu hajakupa uone atakavyokua. Wanasema usitukane wakunga uzazi ungalipo. Wewe kama hupendi kitu bora ukae kimya tu. Ndipo utashangaa siku moja binti yako anazaliwa na mtindi mkubwa kumbe ni kwa maneno ya kinywa chako ulimuumba huyo mtoto kwa dharau zako. Let's be very careful.


 

Nakuunga mkono kbs...
 

Mh,naamini inategemea mtu na mtu,mfano kuna mkuu hapahapa alidai hapendi mabinti wafupi,in my case ingawa mimi ni mrefu n mwembamba ila aicee kwa mabinti wafupi,weusi wanene huniambii kitu hapo....
 
All kind of boobs make my world go round even more faster-twice a normal rotation.
 
Wanaume kazi sana kila mtu na chaguo lake Leo unapenda matiti...kesho utasema hips I....kesho kutwa makalio at the end unajikuta unaoa mwanamke wa kawaida hana hat kimojawapo
Hao ndo wanaume

hahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…