Matiti kuuma

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
Hello wana JF!
My wife wangu ameamuwa kumuachisha mtoto kunyonya baada ya kukataa kula chakula huku aking'ang'ania nyonyo tu. Ana mwaka na miezi mitatu. Tatizo maziwa ya Mama yake yamevimba na yanauma sana. Kuna tiba? Help please!
 
Pole sana!
Ni vema akamuone doctor mapema ingawa hata akiyaacha yatatulia yenyewe.
 
...Mwambie ajaribu kuyakamua ili kupunguza maziwa yaliyomo hii itasaidia kupunguza maumivu, labda afanye mara mbili kwa siku asubuhi na jioni...ila sijui kama kuna tiba ya hili.

Hello wana JF!
My wife wangu ameamuwa kumuachisha mtoto kunyonya baada ya kukataa kula chakula huku aking'ang'ania nyonyo tu. Ana mwaka na miezi mitatu. Tatizo maziwa ya Mama yake yamevimba na yanauma sana. Kuna tiba? Help please!
 
Apange mda wa kumlisha mtoto chakula na muda wa kunyonyesha,Mtoto anatakiwa anyonye hadi 2yrs
 
...Mwambie ajaribu kuyakamua ili kupunguza maziwa yaliyomo hii itasaidia kupunguza maumivu, labda afanye mara mbili kwa siku asubuhi na jioni...ila sijui kama kuna tiba ya hili.

Best, akifanya hivi akiacha yatauma tena upya.
kwa nini mtoto asiendelee kunyonya huku akishawishiwa kula chakula? Huu u-dot com! Wengine tumenyonya hadi tumeanza shule, ukigoma kuenda shule unatoshiwa utamyimwa nyonyo,lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
...Ni kweli Best....Nadhani anatakiwa afanye hivi kwa kwa wiki au hata siku 10 au avumile maumivu baada ya muda yatapotea. Sijui kama dawa za kupunguza maumivu zinasaidia kwenye hili...

They do help as they relax the nerves ambazo zinakuwa pressed na mammary ducts zilizojaa madhiwa. Akivumilia kwa kiasi na kunywa dawa itaisha baada ya maziwa kuacha kutengenezwa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
....Best King'asti tayari umeshamsaidia kwa kiasi kikubwa muanzisha hii thread nini cha kufanya ili kumsaidia mama chanja wake.

They do help as they relax the nerves ambazo zinakuwa pressed na mammary ducts zilizojaa madhiwa. Akivumilia kwa kiasi na kunywa dawa itaisha baada ya maziwa kuacha kutengenezwa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu.@eRRy Na mimi ninachangia amefanya makosa mke wako kumuachisha maziwa mtoto wake mapema ilitakiwa amnyonyeshe Mke wako mtoto wake kwa muda wa miaka 2 ndio maana yamevimba mwambie aendelee kumnyonyesha mtoto mpaka afikishe miaka 2 ndio anaweza kumuachisha . Akimnyonyesha matatizo ya kuvimba na kuuma yataisha.Poleni sana
 
Nawashukuruni wote mlionipa mchango wa mawazo, tulikwenda kwa daktari akashauri kuya kamua asubuhi na jioni kama Mkuu BAK Alivyoshauri hapo juu. Aliendelea kudai kuwa ni kuyaosha kwa maji ya moto kidogo, kisha kuyakamua, then yawekewe barafu. Kwa wale ambao hawakuridhisha na uamuzi wetu wa Kumuachisha akiwa na mwaka 1 na miezi 3, Ni kwamba alikuwa hapendelei kula chakula chochote isipokuwa Pizza tu, Kitu ambacho niliambiwa na Mama KuwA Ni kwa Sababu bado anayonya hivyo akiacha atakula bila tatizo. Na kweli ameanza kula kidogokidogo bila tatizo. Asingeweza kushibishwa na maziwa tu! Ahasanteni sanaa na Mungu awabariki wote!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hello wana JF!
My wife wangu ameamuwa kumuachisha mtoto kunyonya baada ya kukataa kula chakula huku aking'ang'ania nyonyo tu. Ana mwaka na miezi mitatu. Tatizo maziwa ya Mama yake yamevimba na yanauma sana. Kuna tiba? Help please!

Dawa inayotumika kukausha maziwa inaitwa bromocriptine. Anatakiwa kuanza na dozi ndogo ya nusu kidonge mara mbili kwa siku kwa muda wa siku nne au wiki moja, akiona dawa inamsaidia anaongeza dozi na kunywa kidonge kimoja mara mbili kwa siku mpaka maziwa yatakapokauka.
Vilevile kukanda matiti na maji ya baridi husaidia kupunguza maumivu na kupunguza maziwa kutengenezwa.
 
Back
Top Bottom