Matibabu Mapya Kibofu cha Mkojo.


MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,987
Likes
5,377
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,987 5,377 280
[TABLE="class: infobox, width: 22"]
[TR]
[TH="bgcolor: #696969, colspan: 2, align: center"]Urinary bladder[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]1. Human urinary system: 2. Kidney, 3. Renal pelvis, 4. Ureter,5. Urinary bladder, 6. Urethra. (Left side with frontal section)
7. Adrenal gland
Vessels: 8. Renal artery and vein, 9. Inferior vena cava, 10.Abdominal aorta, 11. Common iliac artery and vein
With transparency: 12. Liver, 13. Large intestine, 14. Pelvis[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]Male Bladder Makeup[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Latin[/TH]
[TD]vesica urinaria[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Gray's[/TH]
[TD]subject #28 1227
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #FFC0CB"]
[TH]Artery[/TH]
[TD]Superior vesical artery
Inferior vesical artery
Umbilical artery
Vaginal artery[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #ADD8E6"]
[TH]Vein[/TH]
[TD]Vesical venous plexus[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: yellow"]
[TH]Nerve[/TH]
[TD]Vesical nervous plexus[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #90EE90"]
[TH]Lymph[/TH]
[TD]external iliac lymph nodes, internal iliac lymph nodes[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #D8BFD8"]
[TH]Precursor[/TH]
[TD]urogenital sinus[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]MeSH[/TH]
[TD]Bladder
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Dorlands/Elsevier[/TH]
[TD]Urinary bladder
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mbinu mpya ya kutibu
dalili za mapema za
saratani ya tezi kibofu
huenda ikawa na athari
ndogo kwa wagonjwa

ikilinganishwa na matibabu ya sasa. Hii ni kulingana na utafiti
kwenye jarida la
matibabu la Uingereza,
The Lancet . Kwa mujibu wa
wataalamu wa matibabu
ya saratani , utafitui
uliofanyiwa wagonjwa
41, unaonyesha kuwa

mbinu hiyo inayotumia miale ya Ultrasound
kulenga tu sehemu
iliyoathirika, inapunguza
uwezekano wa mtu
kuondolewa uwezo wa

kuzalisha, ambayo ni mojwapo ya athari ya
matibabu ya saratani
hiyo. Watafiti wanasema kuwa
utafiti huu huenda
ukabadili matibabu ya
saratani ya tezi kibofu
katika siku za usoni

ikiwa utaradiwa na kufanywa kwa ukubwa
zaidi. Baraza la utafiti wa
matibabu ambalo
lilifadhili utafiti huo,
limepongeza matokeo
yake ambayo lilisema ni

dalili ya mustakabali mzuri wa matibabu ya
saratani. Kila mwaka wanaume
37,000 nchini Uingereza,
hupatikana na saratani

ya tezi kibofu. Wengi hukabiliwa na
wakati mgumu
wanapoathirika: ugonjwa
huo huua takriban watu
10,000 kila mwaka, lakini
kwa baadhi ya wanaume ugonjwa huo huenda
usiwe tisho kubwa ikiwa

hautatibiwa. Matibabu ya saratani hiyo
kwa njia ya upasuaji au
kwa kutumia miale ya
eksirei, hujumuisha
kutibiwa kwa sehemu

yote ya tezi kibofu. Matibabu hayo yanaweza
kuathiri seli zilizoko
kwenye sehemu hiyo ya
mwili, na kusababisha
athari kubwa kwa mpira
wa mkojo ambapo mtu anakosa uwezo wa
kubana mkojo pamoja na
kumkosesha uwezo wa

kuzalisha. Matibabu maalum Madaktari katika chuo
kikuu cha College
Hospital mjini London,
wamefanya utafiti wa
kwanza, kwa kutumia

miale mikali ya ultrasound ikilenga tu seli
za saratani katika tezi
kibofu. Daktari wa upasuaji,
Hashim Ahmed, alielezea
ambavyo matibabu hayo

yanafanya kazi. Madaktari walitumia
mbinu hiyo kwa kuweka
miale kwenye tezi kibofu
huku miale hiyo ikilenga
tu seli zenye saratani na

hivyo kusababisha athari ndogo mno kwenye
misuli na seli ya za neva
zinazozunguka sehemu
hiyo. Kulingana na Hashim
Ahmed, daktari wa
upasuaji aliyeongoza
utafiti huo miezi 12
baada ya matibabu hayo

kujaribiwa , matokeo yake ni ya kuridhisha. Bwana Ahmed, amesema
kuwa ushahidi
unaonyesha mbinu hiyo
ya kutibu na kuzuia
kusambaa kwa saratani

ni nzuri. Robert Page mwenye umri wa miaka
72, aliyetibiwa kwa njia
hiyo miaka miwili
iliyopita amesema kuwa
matibabu hayo

yalimsaidia sana. Bwana Page alisema, "
Matokeo yalikuwa mazuri
sana. Nilifurahia sana
baada ya kupokea
matibabu hayo hasa kwa

sababu sikupata athari zozote, ikilinganishwa na
matibabu mengine." Hata hivyo wataalamu
wamependekeza
kufanyika utafiti zaidi
kwa kuwa ulifanyiwa tu
wanaume chini ya 50.
http://hakiforums.boardhost.com/viewtopic.php?id=454


 

Forum statistics

Threads 1,250,178
Members 481,248
Posts 29,723,245