Hivi karibuni kumekuwapo taarifa za Mawaziri na wabunge kuugua na wote kupelekwa India kupata matibabu. Kinachoniskuma kuhoji kwamba Bunge linapata kamisheni katika Hospitali za India ni kutokana na Wabunge kuhudumiwa kwa takriban asilimia 100 na Bunge. Hivi hakuna Hospitali katika nchini nyingine zenye uwezo wa kuwatibia Wabunge?

Lazima tufikiri nje ya boksi kwa sababu Prof Mwandosya, Dk. Mwakyembe, Chami na hata Zitto naye anataka kupelekwa huko kwa mujibu wa Katibu wa Bunge.Wangepelekwa marekani ungeitisha maandamano.
Tumia akili.
OTIS.
At least wanaenda India, wangekuiwa wanaenda Marekani ndo tungezidi kuumia zaidi.
Kweli hapa Tanzania wameshindwa kumtibu Malaria mpaka apelekwe India? Sasa hizi Hospital zetu zipo kwa ajili gani ikiwa kila siku viongozi Mafisadi wakiumwa wanakimbizwa India? Wizara ya Afya ni Matatizo matupu hapa nchini.
Kwa nini tusiwe na hospitali hapahapa nchini ambazo zinatoa huduma bora zaidi ili na sisi tuhudumie viongozi wa nchi nyingine?Suala la kutibiwa nje ya nchi lisiwasumbue sana kwasababu hata mke wa Obama mwenyewe alishawahi kwenda Afrika ya Kusini kupasuliwa jipu. Nadhani ni suala la maamuzi tu na hakuna kingine hapo.
hivi karibuni kumekuwapo taarifa za mawaziri na wabunge kuugua na wote kupelekwa india kupata matibabu. Kinachoniskuma kuhoji kwamba bunge linapata kamisheni katika hospitali za india ni kutokana na wabunge kuhudumiwa kwa takriban asilimia 100 na bunge. Hivi hakuna hospitali katika nchini nyingine zenye uwezo wa kuwatibia wabunge?
Lile lilikua CHANGA LA MACHO,we humjui Mkulu kwa sanaa?Kulikuwa na mpango wa Mh. Kikwete na serikali ya India kujenga hospital kubwa pale karibu na Mlimani City, hii mambo imeishia wapi?