Jamani mie ni miongoni mwa waliotuma maombi ktk chuo cha mati uyole mpaka sasa sielewi kama post wametoa,coz sijapata barua tafadhali mwenye no za mkuu wa chuo au za mwanachuo yeyote naomba aniwekee hapa pia kwa anaejua naomba anibipu kwenye no 0762525467 mie nitampigia ili anipe maelekezo natanguliza shukrani.