Mati - Igulusi

Mati - Igulusi

Ngiyemenya

Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
67
Reaction score
32
Wadau naomba kuuliza vizuri kuhusu chuo cha mati igulusi manake kuna Dogo langu amechaguliwa huko katika fani ya LAND USE, sasa anahitaji kujua zaidi mazingira ya chuo kwasababu hadi sasa hajatumiwa joining instruction so kama kuna wadau walipita huko naomba mnijuze kuhusu chuo hicho natanguliza shukrani zenu.
 
Chuo kizuri sana tena sana wewe nenda utakutana na mkuu wa chuo anaitwa Shundi
 
Wadau naomba kuuliza vizuri kuhusu chuo cha mati igulusi manake kuna Dogo langu amechaguliwa huko katika fani ya LAND USE, sasa anahitaji kujua zaidi mazingira ya chuo kwasababu hadi sasa hajatumiwa joining instruction so kama kuna wadau walipita huko naomba mnijuze kuhusu chuo hicho natanguliza shukrani zenu.
alaf kwenye guidebook ya book ya nacte hyo kozi ipo under government sponsorship
 
Back
Top Bottom