Maths Quiz: Tafuta eneo lililotiwa kivuli

Maths Quiz: Tafuta eneo lililotiwa kivuli

Structures like this, zinaanzia kwenye vitu kama hilo duara then una-expand idea!
images
 
Mkuu, triangle ABC is not stated to be right angled, you should change your approach instead of pythagoras theorem! May be try integration method (Like numerical methods) or the sine and cosine rules!!
Trigonometric Ratios (Sin, Cos e.t.c) ina-apply kwa triangle ambayo sio right angled??
 
Find area of the whole figure which is a triangle (56*42*0.5) and a semi circle (35*35*22/7) the total will be 3101 cm square. From this minus the unshaded part which is a quarter of a circle (22/7*42*42*0.5) which is 1386 cm squire. You will remain with 1715 cm squire.

But mind we are not told that the unshaded part is quarter of a circle. What is the mathematical principle/rule that you have relied on to advance that supposition! Nilifikiri hivyo lakini nikakosa guiding rule!
 
Mkuu, triangle ABC is not stated to be right angled, you should change your approach instead of pythagoras theorem! May be try integration method (Like numerical methods) or the sine and cosine rules!!

onesha njia yako sasa!! sio una criticize tu!!
 
A line AC is not necessarily the diameter, so it's not correct to regard the area enclosed between the arc and line AC as a semi-circle. Kwa ujumla swali halikukamilika IWAPO mtunzi wake alidhamiria kumaanisha kuwa hiyo ni nusu duara!
 
Wakuu! Assumptions ni mhimu kuweka, Mfano: The triangle ABC is not stated to be a right, however most of the attempters are babtizing the triangle ABC to be the right angled!!
Mbona kama unaji contradict hivi. Unasema assumptions ni muhimu kuweka halafu hapohapo hukubaliani na walio "baptize triange ABC kuwa ni right angled"! Sioni hilo swali likifanyika kwa kutumia information zilizotolewa peke yake, kama hiyo triangle siyo right angled na hizo duara sio semicircle na quadrant! La sivyo utakuwa na endless ya majibu ambayo yote yanaweza kuwa sahihi. Hebu tiririka tuone unavyolipata kitofauti hilo eneo lililotiwa kivuli.
 
You can actually use any approach, sema JF haina option ya kuweka integral symbol na option za kuandika equations!! MODs, tusaidieni kutuwekea hizi symbols za integral na equations watu wajimwage siyo siasa tu!

∫2x+1 dx .... kama hivi mkuu
 
Hapo ndo watanzania napowaona wa ajabu, yaani kujipa shida kutafuta eneo lililotiwa kivuli wakati linaonekana,,

Eneo lililotiwa kivuli ni hilo apo lililo kama mwezi, au hamlioni? Mjini mipango mambo ya kushuka formula fanyen shamba huko,,,
 
kesho tena??!

jana nlichoka,
Anyway, mi hua naingia pale wanaposhindwa wengine.

Sasa kwakua wameweza basi sina cha kuongeza.
Kwa kifupi mimi ndio wale ambao "Swali likishindikana, basi limekosewa", tuko wachache sana duniani!!
 
Mkuu bado aise! shusha nondo watu tufaidike na mautaalamu yako!
 
Hapo ndo watanzania napowaona wa ajabu, yaani kujipa shida kutafuta eneo lililotiwa kivuli wakati linaonekana,,

Eneo lililotiwa kivuli ni hilo apo lililo kama mwezi, au hamlioni? Mjini mipango mambo ya kushuka formula fanyen shamba huko,,,
Hahahah Mkuu mipango yenyewe huanzia kwenye drawing board then vitendo!! Shusha jibu watu wapate pakuanzia!!
 
Back
Top Bottom