WISDOM SEEDS
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 841
- 282
Tarakimu ya mwisho ya simu yako ya kiganjani zidisha kwa 2, jibu utakalopata jumlisha 5
halafu zidisha mara 50, jibu utakalopata jumlisha umri wako, halafu jumlisha tena 365, kisha toa 615.
Namba mbili za mwisho katika jibu lako ndiyo umri wako na namba ya mwanzo ndiyo namba ya mwisho
ya simu yako ya kiganjani.
(Your cell number's last digit X 2 + 5 X 50 + your age + 365 615
the last two numbers are your age and the first number is your cell's last numbers)
Jaribu leo uone!!
mkuu, maelezo yako hayaendani na formula uliyoweka (labda magazijuto yalikuwa tatizo kwako) ila ukifuatilia maelezo yako kwa usahihi jibu kweli linakuja kama ulivyosema manaana mimi namba ya mwisho ni 8 na umri wangu ni 28, jibu baada ya hiyo hesabu ni 828!
Ili iendane na maelezo yako, Formula ungeandika hivi; [(Your cell number's last digit X 2) + 5] X 50 + your age + 365 – 615
kweli. . .? teh teh tehMmh! Nna kaz nafanya. Hesabu yako ntafanya baadaye.
hujui hesabu.Nimejaribu namba zangu zote nne za cell phone hesabu yako haijaleta jibu.
Ukisikia wachawi wa namba ndio mimi sasa, nashangaa we ni mathematician wa wapi usienifahamu mimi. Tafuta mimi kwenye facebook.hujui hesabu.
Rudia tena. Fanya kwa umakini utapata jibu. Mim nimejarb no zang 3 zote zmeleta majib sawa. Hi ni kwel mkuu.Nimejaribu namba zangu zote nne za cell phone hesabu yako haijaleta jibu.
<br />mkuu, maelezo yako hayaendani na formula uliyoweka (labda magazijuto yalikuwa tatizo kwako) ila ukifuatilia maelezo yako kwa usahihi jibu kweli linakuja kama ulivyosema manaana mimi namba ya mwisho ni 8 na umri wangu ni 28, jibu baada ya hiyo hesabu ni 828!<br />
<br />
Ili iendane na maelezo yako, Formula ungeandika hivi; <b> [(Your cell number's last digit X 2) + 5] X 50 + your age + 365 615<br />
</b>