BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
Unakumbuka hii? ilikuwa lazima uwe nayo,tena iwe imekamilika ndani!!
Halafu table mpaka ya kumi na mbili zipo kichwani.Ukisimamishwa na Mwalimu anakuambia niatajie orodha ya saba wewe unatiririka tu.