Mathayo azomewa, awatusi tena wanaCCM wa Same

Kabisa mkuu, anayetaka huruma ya Lowassa basi na aisalimishe shingo yake Chadema.

Nifah,subiri kuanzia tarehe12.08.2015 wana ccm watakavyomiminika ukawa.
 
Niliwahi kupanda huko milimani, kwenya mashimo basi likirusha abiria (hasa waliokaa siti za nyuma) wanasema
'asante mathayo!!!!'
 
katika mkutano wa wana ccm wanaogombe ubunge same magharibi leo,ilipofka zamu ya mathayo alizomewa akatoa kauli ifuatayo,HATA MSIPONICHAGUA WAKE ZENU WATANIPA KURA..Kulewa madaraka n shida...

Huyo ndiye yule mathayo msuya?
 
Anadai hata asipochaguliwa atashinda. Nimeshindwa kabisa kumwelewa.
Ahadi zake ni zilezile za "mkinichagua nitawaletea maji"
Rushwa inadaiwa imekua kawaida kwake hasa maeneo ya milimani!

Kilango vipi jamani mama wa lemutuz?
 
Same" ni kiswahili lakini kwa kiingereza same" ni sawa so huyo jamaa na wananchi wake huenda wana akili sawa za kichichiem...Waneathiriwa na neno "Same"...Same fools live together...
 
Same magharibi ni ngome ya ccm ila matayo angepumzika aingie mwanaccm mwingine. Nkondo yaoka Nkondo
 
Watu wa same ni Wajinga sana, kuing'angania ccm kama mama yao

Mjinga mwenyewe. Yetoni same ni ccm mwanzo mwisho. Na halmashauri ilishaongoza tz nzima....kazi ya ccm pale inaonekana. Mivongo na ndiva zimechimbwa kuboresha kilimo cha umwagiliaji, viwanda vya kukamua mazao, biashara zimeboreshwa kwa kujengewa frem za kisa sa za biashara na mengi zaidi
 

Usituongelee kipare kama mwehu.
Hakuna la maana CCM wamefanya huko same.
Maendeleo yameletwa na wananchi na sio ccm.
 
Ni kwamba hilo jimbo CCM wameshalipoteza

Naweza kubet kwa hili. Same almost nzima ni ngome ya ccm. Usidanganywe na pale hedaru na same mjini. Milima ndio same yenyewe na ndio huko husemi kitu kuhusu ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…