Onyesha njia mkuu, au huna mda huo?
Hata hesabu zenye majibu yenye nukta sifanyagi naona usumbufu maana situmii peni wala karatasiOnyesha njia mkuu, au huna mda huo?
✅️5 (X - 3) = 2 x 25
5X - 15 = 50
5X = 50 + 15
5X = 65
5X/5 = 65/5
X = 13
Kumbe!Hata hesabu zenye majibu yenye nukta sifanyagi naona usumbufu maana situmii peni wala karatasi
Ngoja tuone View attachment 3314993
SWALI
Nina nambari nne. Nikizichanganya, napatia nambari zote kutoka 1 hadi 10. Nambari hizo nne ni zipi?
The value of 1 square is 2
Ukapata 1,2,3,4,5,6,7,8,9,10Hii sijaielewa master, “Nikizichanganya, napatia nambari zote”
Ama ulimaanisha napata?
45, 68, 107 na 239
Safi mkuu!X square- 9 = 5X - 15
X square-5X -9 + 15 = 0
X square-5X + 6 = 0
(X + 2) (X + 3) = 0
I) X + 2 = 0
X = -2
ii) X + 3 = 0
X = -3
Safi mkuuX square- 9 = 5X - 15
X square-5X -9 + 15 = 0
X square-5X + 6 = 0
(X + 2) (X + 3) = 0
I) X + 2 = 0
X = -2
ii) X + 3 = 0
X = -3
SWALI
Nina nambari nne. Nikizichanganya, napatia nambari zote kutoka 1 hadi 10. Nambari hizo nne ni zipi?