Math challenge

HIVI KATI YETU KUNA MWALIMU HAPA KWELI MAANA AJABU JF WATU UJIFICHA FANI ZAO NA KAZI ZAO ...MIMI SIYO MWALIMU NILIISHIA LA 7 NIKASOMA SEC SIKU 100 TU
 
Swali lako haliko wazi. Ungeonesha hiyo area, kwa kuweka kivuli, la sivyo unamaanisha tutafute the surface area, ambayo itajumuisha na area of the rectangle .
Umekosea hskuna rectangle hapo
 
HIVI KATI YETU KUNA MWALIMU HAPA KWELI MAANA AJABU JF WATU UJIFICHA FANI ZAO NA KAZI ZAO ...MIMI SIYO MWALIMU NILIISHIA LA 7 NIKASOMA SEC SIKU 100 TU
Siku 100 ukaona unapoteza muda mkuu? 😁
 
HIVI KATI YETU KUNA MWALIMU HAPA KWELI MAANA AJABU JF WATU UJIFICHA FANI ZAO NA KAZI ZAO ...MIMI SIYO MWALIMU NILIISHIA LA 7 NIKASOMA SEC SIKU 100 TU
Hakuna wa kukuambia profession yake hapa, wewe changamsha tu ubongo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…