Math challenge

Fanya hii ya kikubwa dy/dx+2y = 3sin(x)
Utoto jomba utoto utoto👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶tatizo kuandika hapa ni shida hiyo hesabu ina step kama 6 hivi
 
Mkipata kitonga mnazipa majina😂
Nipe heshima yangu yani wewe umeshindwa kutambua tu kuwa umekutana na genius majuzi kulitumwa uzi wa amplifier na electroni wakaja maprofesa nikawatoa out ...niliwaanyesha mzungu kakosea wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…