Lazima ku-open brackets zote, naona mmebishana hapo ila naungana nae, ile ya mwisho bado ni bracket lazima ifunguliwe kwanza ndio ugawanye. Rules are rules.Hii hapa
Nenda ukurasa kuanzia no 10 hadi 12
Jamaa kakubali nadhani yeye ni mjuzi wa hesabu kuliko wewe alikubali mara moja endelea kusoma koment za mbele mabano yana tumika kwa equation ya ndani ya mabano tu baada ya kumalizika hakuna tena mambo ya mabanoLazima ku-open brackets zote, naona mmebishana hapo ila naungana nae, ile ya mwisho bado ni bracket lazima ifunguliwe kwanza ndio ugawanye. Rules are rules.
Angalia hapo, huyo ni mtaalam kuliko mimi na wewe.Jamaa kakubali nadhani yeye ni mjuzi wa hesabu kuliko wewe alikubali mara moja endelea kusoma koment za mbele mabano yana tumika kwa equation ya ndani ya mabano tu baada ya kumalizika hakuna tena mambo ya mabano
Swali la kwanza jibu lake ni 11.75Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
3Y=120
5(3)=5×3Angalia hapo, huyo ni mtaalam kuliko mimi na wewe.
Alright, let’s solve this step by step:
Expression:
60 ÷ 5(1 + 1(1 + 1))
---
Step 1: Simplify the innermost parentheses
1 + 1 = 2
So now it becomes:
60 ÷ 5(1 + 1 × 2)
---
Step 2: Do the multiplication inside the parentheses
1 × 2 = 2
So now:
60 ÷ 5(1 + 2) = 60 ÷ 5(3)
---
Step 3: Multiply 5 × 3
5 × 3 = 15
Now it’s:
60 ÷ 15 = 4
---
✅ Final Answer: 4
Sawa mkuu,5(3)=5×3
60÷5×3=36
12×3=36
Kivipi mimi najua hesabu wala sikusoma secondary genius ...kama akili AI ndiyo imekupa jibu ilo basi imekosea kunamaswali mengi tu inakosea jibu ni moja tu 36Sawa mkuu,
Naona umemaliza kupeana challenge na mimi sasa unapambana na akili mnemba.
.Sawa mkuu,
Naona umemaliza kupeana challenge na mimi sasa unapambana na akili mnemba.
Mbona tupo mkuu, tunatunishiana misuli na hawa vidume😁Huu uzi umejaa wanaume tu.
Ina maana nyie wanawake hamjui hesabu au mko darasani Veta mida hii?
Mambo ya sekondari yanaingiaje hapo mkuu. Basi tukubaliane kutokubaliana.Kivipi mimi najua hesabu wala sikusoma secondary genius ...kama AI ndiyo imekuambia jibu ni 4 imekosea jibu hspo ni moja tu 36
Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Safi sana. Nikajua mie peke yangu ndio najua hesabuMbona tupo mkuu, tunatunishiana misuli na hawa vidume😁
E+E+E=15
Back to school 😹La kwanza jibu 29
😹😹😹Huu uzi umejaa wanaume tu.
Ina maana nyie wanawake hamjui hesabu au mko darasani Veta mida hii?