Nashangaa watu wanao aminiwa kuwa ni magreat thinker humu jamvini kumbe ni magreat sinker......Mateso hayawezi tatuliwa na chama kilicho karibisha MAFISADI na kiwapuuzua waasisi.

mkuu maisha mazur hayaletwi na mwanasiasa, hata aje mtume muhamad slw usipowaandalia wanao maisha mazur watafanya kaz ya kukusanya makopo.
Fanyen kazi acheni kukaa nyuma ya keyboard na degree zenu.
Hizo degree zitumien kwenye kufanya tafit mbalimbali ili muongeze nafas za wataalam sio kukaa na kuisubir serikali ikuajili