Mateso yangu

Hamna noma, ila kuna viumbe wana wivu mnoo bwana ibra...

Endelea na mpango wako bila kukata tamaa...

Jf is for all, hakona cha old members wala new members..

Andika unacho ona ni sawaa...

usijali askari wangu nishakutana na watu hao mara nyingi tu kabla hata Sijafika hapa so waache waseme nadhani wataisoma na wataitafuta tu
 
Acha Ipige hatua Wataikubali, kama Huyo wanaemuona ni mtunzi bora Wastori kaipigia hii saluti wao kama nani waseme? Wengine wamechukia kwa kuwa nimetumia jina lako Atoto
 
Of coz mama Ibrah. Sio lazima wote tuwaze sawa, ila hatuna budi kuheshimu mawazo ya watu wengine pia.
 
ibra87 we endelea kuimbisha, sisi tutakusaidia kula.
 
Last edited by a moderator:
Of coz mama Ibrah. Sio lazima wote tuwaze sawa, ila hatuna budi kuheshimu mawazo ya watu wengine pia.

Kweli kabisa, kazi ya utunzi sio rahisi ati, na usipowaandikia watu wakaisoma how ll you know unaweza kwa kiasi gani, cha msingi nafikiri ni kumrekebisha pale unapohisi amekosea ili arekebishe afanye vizuri zaidi sio kumvunja moyo na kuona alichofanya ni ovyo kabisa, thats how ppo r sapozd to live.
 
Acha Ipige hatua Wataikubali, kama Huyo wanaemuona ni mtunzi bora Wastori kaipigia hii saluti wao kama nani waseme? Wengine wamechukia kwa kuwa nimetumia jina lako Atoto

Bwana, we tuandikie tu tupate burudani, wanaoiponda na watakaoiponda wasikuvunje moyo maana hawakosekanagi hao ktk jamii, inabidi wawepo ili maisha yasonge, waignore tu sio lazima uwajibu hata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…