Ahsante Mkuu, naona Wauza Ubuyu Wamekuja kutangaza biashara hapa
Haina Uhalisia? Kweli Mmezoea Umbea... Kushindwa kwa Lowassa kusiwafanye muwe machizi..... Haina Uhalisia Sasa umesoma na kucomment Ya Nini? Baraza la Vichaa Chadema
Siku Zote Nyumbu Ni Nyumbu tu, Kama huu ni ujinga basi hata wew uliye comment ni shwain jazz band
Teh hongera sana kwa story. Ngoja tuburudike sieMweeeeh! Naona Shigongo kahamia jf
Punguza kuleta ujinga.
Baba zako wanaingia humu na kusoma hizi mada za humu.
Kaongee na wajinga wenzako kijiweni.
hii ni story ya kweli ingawa Sikutumia jina la mwanamke lakini hata jina lako ntalitumia Mkuu
Teh hongera sana kwa story. Ngoja tuburudike sie
Hahaha Ahsanteee mpendwa. Miss youI m happy to see your comment, dada mtumishi
Teh hongera sana kwa story. Ngoja tuburudike sie
Hamna noma, ila kuna viumbe wana wivu mnoo bwana ibra...
Endelea na mpango wako bila kukata tamaa...
Jf is for all, hakona cha old members wala new members..
Andika unacho ona ni sawaa...