Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
Hiyo nguvu sasa anaitoa wapi jomoniii,kiumbe dhaifu kama huyuuUkitaka kufurahia Maisha yako, Lazima uwe na nguvu ya kusahau yalopita
Sasa mtu kama anakutesa kihisia uendelee kuumia kwake kwani yeye ni mzazi??hapa itakua unakumbuka mazur yake moyo unauma bt why unaachana na mtu akati bado unampenda sana.
Kunywa sumu ufe kama mimi,yalinikuta hayohayo ,nikakologa sumu nikanywa hapa nilipo nimelala zangu kaburini!!
Mkuu nilikua nakuonea huruma sana coz nilishapitia maumivu lakini wewe umezid na ni kwa sababu unayaendekeza. Acha kuendekeza hiyo hali utakonda alafu yeye ananenepa waseme alikuwa anakulea mmeachana ona ulivyokondeana.
Una umri gan mkuu?
Jamaa anayaendekeza huenda kweli na n kweli alimpenda
Wengine tulipitia huko na sasa tupo huru na maisha yetu!
Hiyo nguvu sasa anaitoa wapi jomoniii,kiumbe dhaifu kama huyuu
Huna budi kukubaliana na hali,kadri siku zinavoenda maumivu yanapungua hadi yataisha ,afu amini siku utampata babe mkali zaidi yake.
Usikae idle sana utapata nafasi ya kumuwaza sana, jikeep busy itakusaidia.
Ila maumivu ya kuachwa jamani