Asante sana barikiwapole sana.
Pole sana.
Najua unavojisikia kuliko mtu yoyote[emoji26][emoji26][emoji26]...
pole utapona, watakuja wajuvi watakusaidia dawa
Wapi mlipo ndg niwatembelee?What is Tinnitus?
Tinnitus is described as any sensation of sound in the absence of any external stimulation. It is often described as a ringing, buzzing or pulsing sensation in the ears. Tinnitus is thought to be caused by damage to the outer, middle or inner ear or the hearing nerve in the brain. The damage to the hearing system can result from a number of different sources, such as; noise exposure, age-related changes in the inner ear, certain medications, head injuries, wax, etc. If you experience ongoing tinnitus contact our clinic to schedule an appointment for a complete audiological assessment. Be sure to indicate that you are booking the test because of your tinnitus.
Huugui mafua mara kwa mara?Wanabodi nawasalimu kila mmoja kutokana na umri wake,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nilizaliwa nikiwa mzima bila ulemavu wowote mpaka naingia kidato cha nne ndipo nikapata tatizo la kutosikia vizuri,tatizo hili limenitesa sana mpaka leo nimeishi maisha ya chuo kwa shida sana hasa kipindi cha darasani mpaka nikae mbele ndo nasikia,lakini kwa uaminifu wa Mungu nilimaliza chuo bila tatizo wala suprimentary yoyote ile! Nimetumia dawa za kila aina hasa dawa asili,nimetibiwa hospital ya rufaa morogoro mpaka na ear syringe bila mafanikio yoyote yale,Wameniandikia rufaa kwenda Muhimbili ili nikapewe kitu kinaitwa earphone lakini kuna doctor ameniambia kuwa pia hicho kifaa kinamadhara,!
Kuhusu ulemevu ni kwamba nasikia mda wote vitu vinaunguruma maskioni hivyo mtu akiongea nashindwa kuyanasa Maneno husika!
Ndugu kaka na dada ningependa kupata msaada wa mawazo kutoka kwenu na Mungu awabariki!
Hapana siugui mafua mara kwa mara! Ila napata maumivu ya Kichwa mara kwa mara,Huugui mafua mara kwa mara?
Pole sana mkuu. Nenda pale kwenye hospitali ya CCBRT iliyopo Msasani, Dar Es Salaam wakufanyie uchunguzi. Wanaweza pia wakakusaidia upate usikivu mzuri kama hapo zamani...Ndugu kaka na dada ningependa kupata msaada wa mawazo kutoka kwenu na Mungu awabariki!
Nilidhani tatizo linafanana na alilowahi kuwa nalo mwanangu,yeye alikua anapata mafua mara kwa mara ghafla uwezo wa kusikia ukawa unafifia Doc kumchunguza akasema ni maji yameingia kwenye ngoma ya sikio,ambayo yamesababishwa na huo unyevu wa masikio,hivyo ili kutibu tatizo la masikio tukomeshe mafua kwanza,tukapima allergy ikagundulika ni vumbi na majani,tukamuweka mbali na hali hiyo akapona mafua,akatupa dawa ya kukausha hayi maji masikioni kweli uwezo wake wa kusikia ukarejea kabisa!hadi leo amepona kabisa.Sasa yako ni different case!Hapana siugui mafua mara kwa mara! Ila napata maumivu ya Kichwa mara kwa mara,
Nashukuru sana kwa msaada wako! Nilishauliwa niende muhimbili ndo wanapima kwa hospital ya morogoro walishindwa maana sikio haliumi wala kutoka uchafu wowote hivyo wakasema inahitajika uchunguzi zaidi,ningependa kujua huyo docta kama yupo mikoa ya karibu nimtafuteNilidhani tatizo linafanana na alilowahi kuwa nalo mwanangu,yeye alikua anapata mafua mara kwa mara ghafla uwezo wa kusikia ukawa unafifia Doc kumchunguza akasema ni maji yameingia kwenye ngoma ya sikio,ambayo yamesababishwa na huo unyevu wa masikio,hivyo ili kutibu tatizo la masikio tukomeshe mafua kwanza,tukapima allergy ikagundulika ni vumbi na majani,tukamuweka mbali na hali hiyo akapona mafua,akatupa dawa ya kukausha hayi maji masikioni kweli uwezo wake wa kusikia ukarejea kabisa!hadi leo amepona kabisa.Sasa yako ni different case!
Tafuta specialist yeyote wa ENT atakusaidia,mie huyu yuko Mwanza anaitwa Doc Buname,ila pia kuwa makini sana,maana mie kwa mtoto nilionana na maspecialist wawili kila mmoja majibu yake yakawa yanakinzana na mwenzie,nikajaribu kureason mwenyewe nkaamua kustick na mmoja ambaye alimponyesha wakati mwenzake alidai mtoto afanyiwe upasuaji wa koo!!Nashukuru sana kwa msaada wako! Nilishauliwa niende muhimbili ndo wanapima kwa hospital ya morogoro walishindwa maana sikio haliumi wala kutoka uchafu wowote hivyo wakasema inahitajika uchunguzi zaidi,ningependa kujua huyo docta kama yupo mikoa ya karibu nimtafute
Dah! Asante sana, Mungu akubariki ndg!Tafuta specialist yeyote wa ENT atakusaidia,mie huyu yuko Mwanza anaitwa Doc Buname,ila pia kuwa makini sana,maana mie kwa mtoto nilionana na maspecialist wawili kila mmoja majibu yake yakawa yanakinzana na mwenzie,nikajaribu kureason mwenyewe nkaamua kustick na mmoja ambaye alimponyesha wakati mwenzake alidai mtoto afanyiwe upasuaji wa koo!!
Karibu,utatuletea mrejesho tafadhari!Dah! Asante sana, Mungu akubariki ndg!
Nikweli kaka siku zote naamini yupo yeye Mungu atangazae mwisho tangu mwanzo kwake nitasimama daima! AsantePole xana kijana. Kuna daktar wa magonjwa yote hata yaliyoshindika. Naye ni YESU KRISTO.Mtumainie yeye ktk kila jambo hakika utaona ukuu wake.
Helo mkuu pole sana una ugonjwa wa tinnitus unasikio sauti ya Muungurumo kama vile kengele au mvumo fulani wa sauti. Mimi ninayo dawa yake ukihitaji nitafute kwa wakati wako.Wanabodi nawasalimu kila mmoja kutokana na umri wake,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nilizaliwa nikiwa mzima bila ulemavu wowote mpaka naingia kidato cha nne ndipo nikapata tatizo la kutosikia vizuri,tatizo hili limenitesa sana mpaka leo nimeishi maisha ya chuo kwa shida sana hasa kipindi cha darasani mpaka nikae mbele ndo nasikia,lakini kwa uaminifu wa Mungu nilimaliza chuo bila tatizo wala suprimentary yoyote ile! Nimetumia dawa za kila aina hasa dawa asili,nimetibiwa hospital ya rufaa morogoro mpaka na ear syringe bila mafanikio yoyote yale,Wameniandikia rufaa kwenda Muhimbili ili nikapewe kitu kinaitwa earphone lakini kuna doctor ameniambia kuwa pia hicho kifaa kinamadhara,!
Kuhusu ulemevu ni kwamba nasikia mda wote vitu vinaunguruma maskioni hivyo mtu akiongea nashindwa kuyanasa Maneno husika!
Ndugu kaka na dada ningependa kupata msaada wa mawazo kutoka kwenu na Mungu awabariki!