Material za kweli kwa wale wanaoanza kujifunza web app development na hata waliobobea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Material za kweli kwa wale wanaoanza kujifunza web app development na hata waliobobea

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mdeesingano, Sep 21, 2011.

 1. mdeesingano

  mdeesingano Member

  #1
  Sep 21, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika pita pita zangu njiani nilikutana na nondo za uhakika za "WEB APPLICATIONS DEVELOPMENT" nikaona wandugu niwashirikishe.... Jichukulieni maujuzi tanzania isonge mbele kunako website industry....


  http://openclassroom.stanford.edu/MainFolder/CoursePage.php?course=WebApplications


  Pia msisawao bidhaa zetu za hapa hapa bongo ambazo ni:!


  "Za Kitz kwa waTz"

  www.JigambeAds.com
  www.TanzaniaKwetu.com
  www.JigambeAds.com

  .
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  asante tutazipitia
   
 3. kinja

  kinja Senior Member

  #3
  Sep 21, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  thanks kwa links hizo
   
Loading...