Material Wife

Material Wife

Kuna jambo huwa linanifurahisha hapa JF,
Ninachaoamini, wanawake wanajijua kuwa I am ugly/beautiful,
ANGALIA AVATAR ZAO,
sijawahi kuona ki poly!
Week end njema waungwana.
 
If I remember correctly, this chick starred in "zawadi ya birthday" with Richie, JB and she did a passable job. She has talent.
 
Wewe hii picha c umeitoa facebook? Umeomba ruhusa ya muhusika?
 
dah,siamini kama huyo picha ya 2 ndo yeye wa picha ya 1!
 
Siku hz anzia ulipomkuta usitake jua alikotoka..........
 
Wewe hii picha c umeitoa facebook? Umeomba ruhusa ya muhusika?
Unatakiw kusoma terms and condition kabla huja upload picha vinginevyo itakula kwako. Pia una uwezo wa kuongeza privacy katika vitu kama hivi.
Cku hizi unapoangalia picha fbuk kuna link ya download... wat does it mean?
 
anaitwa shamsa ford...mtoto wa mzee ford aliyekuwa akiimbwa zamani na bendi za dansi...kwa sasa naye ni muigizaji wa filamu za kiswahili
 
just apearance inashawishi ila when ukidondoka ktk nuru hutataman kurudi am telin u mavi2 ya kujiachia namna hii wapo very sour

picha ilivyotoka na yeye mwenyewe ukikutana utakimbia alivoyo mbaya,nilivyomuona kwa picha moyo ulinienda mbio kweli lakini kukutana nae kitaa sikuamini kama ni yeye kweli,au ndio karo lite imeanza ku-expire?
 
Back
Top Bottom