jiangjun
New Member
- May 23, 2020
- 3
- 6
Kuna rafiki yangu ni mchina alikuwa anataka mtu aliyesomea Material Engineering, changamoto imekuja ni kwamba hakuna mtu hata mmoja aliyetuma CV , na ni we week imepita tokea tangazo litoke.
Swali langu ni mmoja inamaana hiyo program haifundishwi kwa hapa Tanzania na kama haifundishwi ni watu walio soma program gani wanaweza fanya kazi kama material engineer?
But kama kuna mtu kasomea Material engineer hata kama ni nje ya nchi tuwasiliane mara mmoja nimuunganishe na huyo mchina, sehemu ya kazi ni Dodoma.
Nimeamua ku share hii opportunity na watu wa hapa Jf maana, juzi nilikua na shida member wa JF wakanisaidia sana.