Mategemeo ya treasury bills auction kesho: Korosho ina mengi nyuma yake

Mwambie Shangazi amwambie baba yake arudishie watu wa Zanzibar kisiwa cha Prison alichjiuzia kinyamara. Na yeye arudishe kiwanja cha Anglicana Zanzibar.Ili tujue yeye kawa msafi. Pungufu ya hapo anayoyanfanya ni kufurahisha manyumbu tu
Tena Prison Island kinawanufaisha familia ya akina Karume kinoma, kila tour ni $32! Halafu anajifanya mwanaharakati?!
Prison Island Trip. Home of huge Tortoises
 
Tuvute subira,hii ishu inaweza kufanikiwa vizuri tu,inategemea management tu ikiwa nzuri,
nchi kama china,iran,vietnam,jeshi lina makampuni ya biashara na wanafanya vizuri tu
 
Si mtulie muache serikali ifanye kazi???? Hivi nyie Watanzania hii tabia ya kuuliza maswali magumu hivi mmeanza lini? Tulieni bwanaaa!!!
 
FB_IMG_1542097887607.jpg
 
Namba 6 hapo ni kwa sababu waziri mkuu ni mkulima wa korosho pia na shangazi zake aliahidiwa watapigwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom