James Rutasitara
Member
- Sep 16, 2017
- 22
- 87
Tumeskia maamuzi ya serikali ya kununua korosho Kutoka kwa wakulima kwa Tzs 3,300.00 na uongozi wa Tanzania Agricultural Development Bank umeagizwa kulipa pesa hizo mara moja. Binafsi nimekuwa na shaka kubwa sa juu ya uwezo wa hii bank ambayo mtaji wake ni karibia mara 10 ya pesa walioagizwa kuilipa kwa wakulima ambayo ni Tzs 600bil.
Maswali yangu.
Nadhani walio wengi wanafahamu kwamba kila jumatano huwa kuna mnada wa Treasury bills ambao huwa unaitishwa na bank kuu. Lengo la huu mdana huwa una malengo mengi sana lakini mojawapo ni kuraise funds kwa ajili ya kufund government expenditures.
Tunaelewa last time kila Tzs 100 ilinunuliwa kwa wastani wa shilingi ngapi sababu record zipo.
Kwa banks ambazo ziko aggressive, hapa ndo mahali pa kupiga pesa. Nadhan overall value ya mnada itakuwa kubwa kuliko kawaida na nahisi hata pricing itakuwa much better kwa commercial banks lengo likiwa ni kuhakikisha pesa inapatikana ya kufund korosho, nawaza tu.
Maswali yangu.
- Pesa ya kulipa wakulima ambayo ni Tzs 600bil wanaitoa wapi? Wataikopa wapi?
- Kama wanaenda kukopa kwa mari ya serikali je nani anakopa na nani anakopeshwa kati ya Tanzania agricultural bank na serikali?
- Je Korosho ikishachukuliwa na kupelekwa lindi kwenye kiwanda cha Buko ambapo tunategemea itabanguliwa, je watakaofanya hiyo kazi wanalipwa na nai?
- Magari ya jeshi na wanajeshi wanagalimikiwa na nani? Posho anatoa nani?
- Tunajua kiwanda cha Buko kina muda mrefu hakiko kwenye operations at its maximum capacity, je ni kwa namna gani kitaweza kubangua Tani 210k?
- Nguvu kubwa sana iliyowekwa na serikali kwenye hili sakata ni kubwa mno, mbona hii push hatuioni kwenye mazao mengine kama mbaazi, ufuta, karafuu, mahindi, kahawa n,k? Kuna nini hapa?