MATEO GODFREY
Member
- Apr 7, 2014
- 54
- 89
Habari wadau ninachangamoto kwenye Suzuki swift nikipaki sehem iliyoflat kama kwenye Rami au zege tairi zinaonekana kama Zina matege ya ndani na nikikatakona tairi ya upande wakushoti inapinda kama unataka kuchomoka na tairi inakwangua Sway bar sijui ndio stabilizer na Kuta ya bodi ya gari nimejaribu kuchungulia nikaona kama ball joint ya upande wa tairi inayopinda nikikata kona kama imeshuka chini Yani inamovement ya up and down pia nikikanyaga kitu kidogo na tairi nasikia kishindo sana