Nenda pale BM, Kinondoni ila uwe kamili kamili kweli kwa sababu dreads za ukwee its expensive to maintain!.Wana JF naomba kwa anayejua sehemu wanatengeneza dreads vizuri kwa maeneo ya posta au ilala kwa ujumla. nlikua naishi wilaya ya kinondoni (Sinza) sasa nimehamia ilala (posta) ila napata shida kupata baadhi ya huduma kwa sababu sijui pakuzipata kwa upande wa ilala wakati mwingine inanilazimu kwenda Sinza coz sijui pengine pakuzipata. ila naamini hata ilala zipo. kwa sasa nataka kujua saloon za dreads zilizopo ilala.
Nenda pale BM, Kinondoni ila uwe kamili kamili kweli kwa sababu dreads za ukwee its expensive to maintain!.
P.
Mimi nanyoa kipara..Hata sijui huduma hiyo yatolewa wapi..
Ngoja lakini JF ni jungu kuu lisilokosa ukoko kamwe..
Ucjali mamii kuna saloon very simple and cheap inaitwa WAILERS DREAD LOCKS ipo mwananyamala A opposite na hospitali ukitaka kuifahamu zaidi nipm
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
mwananyamala A ipo ilala au posta?Ucjali mamii kuna saloon very simple and cheap inaitwa WAILERS DREAD LOCKS ipo mwananyamala A opposite na hospitali ukitaka kuifahamu zaidi nipm
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
unataka mwananyamala A au ilala?Thanks alot smillin gal. will find you.
unataka mwananyamala A au ilala?[/QUOTE
nataka ilala ndo karibu