cheeter
JF-Expert Member
- Apr 19, 2011
- 475
- 155
Hivi umeshawai jiuliza kwa nini vijana wengi wa kiTanzania wanapenda maisha ya shortcut? maisha tunayoishi kila siku yanafanya vijana waone ni sawa wanavyofikiria..wote tunatambua media is a driver for change.media zetu zinamsukumo gani kwa vijana? kijana wa ki Tanzania wa leo,anashawishika kufanya mziki kutokana na media kuwazungumzia maisha yao ya kila siku, kijana wa leo wa ki Tz anaona bora awe punda ila akitoka jamii imtambue.inabidi tujiulize, kwa nini vijana wanafikra hizi? kwa mtazamo wangu,nimeona media za tz hazina initiative programs kwa vijana hata kama zipo,hazina ushawishi wa kutosha kwa vijana.hivyo,ningependa kutoa changamoto zangu kusema media za ki Tz, zimelala.ukiangalia wenzetu hapo tu kenya,huwezi kosa kipindi kinachohusu vijana muda wowote kwenye channel zao..hilo ni jambo zuri ambalo inabidi na sisi tulichukue,wakati naendelea kutafakuri mengineyo,ngoja niwasilishe haya machache