Matatizo ya vijana

cheeter

JF-Expert Member
Apr 19, 2011
477
250
Hivi umeshawai jiuliza kwa nini vijana wengi wa kiTanzania wanapenda maisha ya shortcut? maisha tunayoishi kila siku yanafanya vijana waone ni sawa wanavyofikiria..wote tunatambua media is a driver for change.media zetu zinamsukumo gani kwa vijana? kijana wa ki Tanzania wa leo,anashawishika kufanya mziki kutokana na media kuwazungumzia maisha yao ya kila siku, kijana wa leo wa ki Tz anaona bora awe punda ila akitoka jamii imtambue.inabidi tujiulize, kwa nini vijana wanafikra hizi? kwa mtazamo wangu,nimeona media za tz hazina initiative programs kwa vijana hata kama zipo,hazina ushawishi wa kutosha kwa vijana.hivyo,ningependa kutoa changamoto zangu kusema media za ki Tz, zimelala.ukiangalia wenzetu hapo tu kenya,huwezi kosa kipindi kinachohusu vijana muda wowote kwenye channel zao..hilo ni jambo zuri ambalo inabidi na sisi tulichukue,wakati naendelea kutafakuri mengineyo,ngoja niwasilishe haya machache
 

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,401
2,000
kuna blog flani hivi yaani kwa kuweka picha za uchi hawajambo,utasikia mara picha za uchi za msanii flani,mara mwanachuo wa udom,mara zimevuja...
 

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
9,888
2,000
ukisema ukomae kwenye foleni utaona wenzako wakipita pembeni, wanakuchomekea kisha wanasepa wewe uko pale pale husogei... Na Trafic alileta ngebe anatulizwa na buku mbili watu wana yeya!

Ukisema umesoma sana kuna wenzako wanampa Bosi hongo (pesa au ngono) kisha wanajibebea ajira, we unabaki kusubiri haki itendeke.

Upo kwenye ajira unajifanya huibi wenzako wanapiga pesa na kazi mnafukuzwa wote kwa huo wizi.

Kwa kifupi maisha ya short cut bongo hayaepukiki, labda mfumo ubadilike.
 

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
9,888
2,000
Tatizo siyo media, tatizo ni mindset za watu. Media inaripoti kitu jamii inapenda kusikia au kutazama au kusoma..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom