Matatizo ya mifupa ya kuzaliwa nayo

Matatizo ya mifupa ya kuzaliwa nayo

doktamathew

Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
21
Reaction score
43
ACHONDROPLASIA Ni tatizo la mfumo wa mifupa. Hii ni hali ambayo ipo sana kwa maana watoto wengi wanazaliwa nayo,hali hii husababishwa na hitilafu katika kinasaba maalumu kiitwacho FGFR3.

Watu wenye tatizo hili hua wafupi upande mmoja wa mwili(mfano kua mrefu kuanzia kiunoni kwenda juu na kua mfupi miguuni na kinyume chake ni kweli,kua mbilikimo,kua na mikono mifupi au mirefu,kua na kichwa kikubwa na kua na vidole vifupi(kidole cha pete na cha kati vinaweza kutazama upande tofauti tofauti)..

Hali hii haina tiba bali kuna matibabu ya kusaidia kutokana na matatizo yatokanayo na hali hii..

WAZAZI WACHUNGUZENI WATOTO WENU MARA KWA MARA,EWE NDUGU JICHUNGUZE NA MCHUNGUZE RAFIKI YAKO KAMA ANA HII TATIZO.. USHAWAHI KUKUTANA NA MTU MWENYE TATIZO HILI?

Napatikana instagram na twitter kwa jina la @doktamathew
View attachment 1403791
 
Back
Top Bottom